Utalii Wetu : Dk. Gharib Bilal Afungua Maonesho ya Kimataifa ya Kukuza Biashara ya Utalii ya Swahili (SITE) Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Saturday, 3 October 2015

Utalii Wetu : Dk. Gharib Bilal Afungua Maonesho ya Kimataifa ya Kukuza Biashara ya Utalii ya Swahili (SITE) Jijini Dar

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Wakala wa Shirika la Ndege la Qatar Airways, Dorah Chanafi, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko Amina Nassor.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa  IT wa Bodi ya Utalii, Rossan Mduma, kuhusu Tovuti ya Bodi hiyo wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhem Meru, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika Banda la India, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), uliofanyika Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Saa, Mwakilishi wa Ang'ata Lodges, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Saa, Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza  Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki na wadhamini wa maonesho. 
Picha na OMR

No comments:

Post a Comment