Maisha Yetu :Mdau wetu Sillah Mbuya Afunga pingu za Maisha na Bi. Ancillah - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 19 October 2015

demo-image

Maisha Yetu :Mdau wetu Sillah Mbuya Afunga pingu za Maisha na Bi. Ancillah


DSC_0176
 Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph)
 DSC_0249
  Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili.
DSC_0288
 Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza
DSC_0298
 Bibi harusi akimvalisha pete mme wake Sillah Mbuya uku mchunhaji akishuhudia tukio hili la kihistoria
DSC_0334
 Mchungaji akitoa baraka kwa wanandoa hao
DSC_0275
Bwana na Bibi harusi wakikumbatiana kwa furaha hakika yaliyoandikwa yametimia
DSC_0351
 Bwana Harusi Sillah Mbuya akisaini cheti cha ndoa
DSC_0354
 Bibi harusi Ancilla akisaini cheti cha ndoa
DSC_0373
 Mchungaji akisaini cheti cha wanandoa Sillah na Ancilla
DSC_0452
 Sillah akicheza kwa furaha mara maada ya kutoka kanisani
DSC_0610
 Bibi Harusi na bwana Harusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyoosha grass zao juu kwa 
DSC_0612
 Hakika ilikuwa ni furaha
DSC_0613
 DSC_0638
DSC_0630
 DSC_0664
Wageni waalikwa wakiendelea kugongesha grass zao kwa bibi na bwana harusi
DSC_0672
Bwana na Bibi Ernest Njeje 
DSC_0690
 DSC_0701
 Bwana na Bibi harusi wakiendelea kuserebuka wakati wa harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach jana jumapili.
DSC_0706
 Bwana na Bibi wakionesha pete zao za ndoa
DSC_0721
DSC_0726
 Bwana na Bibi haruzi wakikata nyama ya Mbuzi iliyoandaliwa kwa ajili yao
DSC_0731
 Bwana Harusi akimlisha kipande cha nyama mke wake Ancilla
DSC_0732
 Bibi harusi akimlisha kipande cha Nyama Mme wake Sillah Mbuya
DSC_0734
 Bibi Harusi Ancilla Mrema akimlisha kipande cha nyama mama mzazi wa bwana harusi hii ni kuonesha upendo kwa familia zote
DSC_0737
 Bwana Harusi SIllah Mbuya akimlisha kipande cha nyama mama mzazi wa Bibi harusi
DSC_0775
 Bibi na Bwana Harusi wakionesha tabasamu la nguvu
DSC_0804
 Wageni wakifuatilia kinachoendelea ukumbini hapo
DSC_0833
 DSC_0834
 Bwana Harusi Sillah Mbuya akisakata rhumba na ndugu pamoja na jamaa waliofika katika harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Kiramuu.
DSC_0869
 Mama na Baba wa Sillah Mbuya wakikabidhi zawadi ya biblia kwa watoto wao waliofunga ndoa.
DSC_0894
 Mama mzazi wa Bibi Harusi akitoa zawadi ya Biblia kwa Bwana na Bibi harusi
DSC_0994
Baadhi ya wanakati wakitoa pongezi kwa bibi harusi na Bwana haru mara baada ya kutoa zawadi zao
DSC_0003
Katibu wa kamati ya Maandalizai ya Harusi akitoa neno la shukranni kwa wageni waalikwa waliofika katika harusi ya Sillah na Ancilla  iliyofanyika katika ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach.

Kwa picha zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *