Michezo : Rais Kikwete Afungua Kituo cha Michezo ,Kidongo Chekundu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 20 October 2015

demo-image

Michezo : Rais Kikwete Afungua Kituo cha Michezo ,Kidongo Chekundu


02-D92A9351
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
03-D92A9413
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
04-D92A9424
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo  cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Kituo hicho kimejengwa kwa msaada wa klabu ya michezo ya Sunderland ya Uingereza kwa kushirikiana na kampuni ya kufua umeme ya Symbion.
06-D92A9461

08-D92A9504
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akicheza mpira na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo ya michezo katika kituo hicho kinachofunza mpira wa miguu,kikapu na volleyball ya ufukweni.
11-D92A9614
 -Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo katika kituo kipya cha michezo.
12-D92A9641

13-D92A9642

14-D92A9733

15-D92A9770
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Symbion Bwana Paul Hinks baada ya sherehe za ufunguzi wa kituo(picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *