Mwenyekiti
wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Awadh Mawenya, ambaye ni mgeni
rasmi katika kongamano la saba la elimu ya juu linalofanyika jijini
Arusha akiongea machache mara baada ya kumaliza kutoa mada. Kongamano
hilo limeandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa
kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi (NACTE) pamoja na Kamati ya Wakuu wa vyuo Vikuu nchini (CVCPT)
likiendana sambamba na maonyesho.
Washiriki
wa kongamano la elimu ya juu kutoka katika vyuo na taasisi mbali mbali
zinazohusika na masuala ya elimu wakifuatilia mada.
Katibu
Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya
akiwashukuru washiriki kufika katika kongamano la saba la elimu ya juu
linalofanyika jijini Arusha. Kongamano hilo limeandaliwa na Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Kamati ya
Wakuu wa vyuo Vikuu nchini (CVCPT) likiendana sambamba na maonyesho.
Prof. Ephata E. Kaaya, mwenyekiti wa Makamu wakuu wa Vyuo vikuu Tanzania akiongea machache.
Meza kuu.
Prof.
Sylvia Temu, Mkurugenzi - Idara ya Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi akiongea na vyombo vya habari juu ya mikakati na
mipango ya kongamano la saba la elimu ya juu lililoandaliwa na Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Kamati ya
Wakuu wa vyuo Vikuu nchini (CVCPT) likiendana sambamba na maonyesho.
Washiriki
wa kongamano la elimu ya juu kutoka katika vyuo na taasisi mbali mbali
zinazohusika na masuala ya elimu wakifuatilia mada.
Washiriki wakiwa katika picha za pamoja.
No comments:
Post a Comment