Burudani : Kayumba Juma Aibuka Mshindi katika Fainali za BSS 2015 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 10 October 2015

Burudani : Kayumba Juma Aibuka Mshindi katika Fainali za BSS 2015


Katika Fainali za Bongo Star Search (BSS) Season 8, 2015 Juma Kayumba ameibuka Mshindi na kujinyakulia kitita cha jumla ya shilingi za kitanzania milioni 50.

No comments:

Post a Comment