Matukio : Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa Yaendelea Mjini Peru -Lima - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 10 October 2015

demo-image

Matukio : Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa Yaendelea Mjini Peru -Lima

IMG_4099
 Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana  wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.
IMG_4155
  Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano yanayoendelea katika mikutano hiyo yabenki ya dunia.
IMG_4169
 Ujumbe kutoka Tanzania ukimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa    serikali Dr. Servacius Likwelile katika ofisi ya Tanzania nchini Peru- Lima.
IMG_4179
 Wapili kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Sirvacius Likwelile akisikilizwa kwa makini na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bw. Wilson Masilingi wa pili kutoka kushoto na Bw. Said Magonya wa kwanza kulia ambaye ni Kamishna wa Fedha za Nje Wizara ya Fedha  na Bw. Bedason Shallanda wa kwanza kushoto ambaye ni Kamishna wa Sera Wizara ya Fedha.
IMG_4201
IMG_4242
  Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose anayezungumza katika mikutano ya mwaka ya Benki ya dunia na                

         (Picha zote na Ingiahedi Mduma na Eva Valerian, Peru – Lima).

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *