Matukio: Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Abiria Terminal II, Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 10 October 2015

Matukio: Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Abiria Terminal II, Zanzibar


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania ambaye anafanyia kazi Zanzibar  Chein Li wakati alipowasili katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,jengo hilo linajengwa na kampuni kutoka China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakati alipowasili katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ujenzi  wa jengo hilo unajengwa na Kampuni kutoka China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,(katikati) Naibu waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (GAVU)
 Misimamizi wa  Mradi  kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Yasser De Costa katika Ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampnuni ya Kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi huo alipotembelea baada ya kuweka jiwe la msingi leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa nje ya jengo jipya la Abiria Terminal II ilnalojengwa na kampuni ya kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  na kupatiwa maelezo ya ujenzi na Msimamisi wa Mradi  kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi  Yasser De Costa,baada ya kuweka Jiwe la msingi ujenzi huo leo
 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Kichina inayojenga jengojipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume na wananchi wengine wakiwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi uliofnywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo Uwanjani hapo
 Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya kuweka jiwe la msingi  jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
 Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya kuweka jiwe la msingi  jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
 Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Mashirika ya Nje wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya kuweka jiwe la msingi  jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
 Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (GAVU) akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliazungumze na wananchi na Viongozi katika sherehe ya uwekaji wa  jiwe la msingi  jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi  jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ALi Iddi na (wa pili kulia) Chein Li Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania ambaye anafanyia kazi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi  jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,
[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment