Dk. Kuldeep Singh, mshauri mwandamizi wa upasuaji hospitali za Apollo,
Na Mwandishi Wetu,
Kuonekana mrembo na mdogo imekuwa ni jambo
la msingi sana katika tamaduni nyingi sasa. Katika ulimwengu wa sasa,
tunaguswa sana na picha nyingi vutivu za watu maarufu. Kwa Tanzania
tunaona baadhi ya hao watu maarufu wenye mionekano ya kirembo kama Madam Rita wa Bongo star
search na Jackline Mengi aliyewahi kuwa Miss Tanzania.
Pale mtuanapokuwa na mwonekano mzuri huwa anajengeka ki akili na anapata ujasiri zaidi na kukubalika katika jamii, kwasababu yafikra walizonazo kwamba wanaonekana wanavutia kutokana na matarajio yao hivyo inawapa ujasiri wa kutosha zaidi. Mwonekano mzuri pia unaongeza wateja/mashabiki wengi katika fani za burudani.
Watanzania wengi waliomaarufu wanazidi kuwa na mvuto zaidi na kuongoza katika mambo
ya urembo na ulimbwende.
Ongezeko la upasuaji kwa ajili ya urembo Tanzania ni ndogo tofauti na nchi za nje,lakini bado ongezeko hili linakua hasa maeneo ya mijini. Kinachofurahisha ni kwamba nia ya kuwa mrembo sio tu kwa wanawake tena. Wanaume nao wanajikita kwenye usemi wao “mwonekanowakitoto” hasa wale wanaojihusisha sana na kazi za Sanaa na vyombo vya habari.
Hali hizo zimesababisha watu kufanya upasuaji ili wasizeeke na ratiba za kujipodoa zinazidi kushamirisi ku hadi siku.
Tunaona jinsi hospitali na kliniki za Tanzania zinavyoongezeka hasa kwenye kutoa taarifa za michakato ya urembo na vipodozi.
Ingawa Tanzania bado inajitahidi kukimbizana na spidi ya njia za kisasa za urembo,
tunaona jinsi watanzania wengi wanavyosafiri kwenda ughaibuni kwa ajili ya upasuaji.
Kwa mujibu wa Dk. Kuldeep Singh, mshauri mwandamizi wa upasuaji hospitali za Apollo, kuna hatua tofauti mtu anaweza kuchaguailiaonekanimrembonamdogopia. Kipodozi cha botoxkinawezakutumikakupunguzamakunyanzinautokwajiwajasho. Utumiaji wa tishu laini kwenye ngozi kitaalam ni hatua moja wapo inayoweza kutumika kupunguza makunyanzi, kuboresha nyama za chini ya mashavu, kidevuni na puani pia.
Kuondolewa kwa nywele sehemu za usoni hasa kwa ajili ya matibabu ni njia iliyoshika kasi kwa watanzania,
uzuri wa njia hii haihusishi kuondoa sehemu yoyote ya ngozi bali ninywe letu,
na haitoleta madhara na inaweza kupunguza nywele mara zote.
Kutokana na chaguzitofautizamaishakamakulavyakulavyenyekaloriesnyinginaupungufuwakufanyamazoezi,
ongezeko la vitambilimezidikushamiri.
Kwamujibuwatakwimuzautafitizaidadiyawatunaafya au Tanzania demographic and
health survey (TDHS) uliofanywa 2010 nataasisiyatakwimu Tanzania pamojana ICF
Macro walikutakwamba 22% yawanawakewawatanzaniawanauzitomkubwazaidiyajinsiwanavyotakiwakuwa.
15% wanauzitouliozidina 6% wanavitambi. Kulingananaongezeko la vitambiupasuajiwakuondoamafuta
(liposuction) nibaadhiyanjiailiyopataumaarufukatikaharakatizakupata umbo zuri.
Uhitajiwakupunguzamafutapasipoupasuajinijambolitakaloendeleakusaidiakutengenezambadalawateknolojiampya.
Dk. RajkumarPalaniappanwahospitaliza Apollo zilizopo Chennai
anasemaupunguzwajiwamafutamwilininikitu cha kawaidakwawotewenyetatizo la
uzitomkubwahasakwanjiayaupasuaji au kulamlosahihi. Watuhaowanabakiwanangoziiliyodhoofu,
wakihitajiainatofautiwaupasuajikamawasehemuyamwiliyajuunachini.
Ainanyingineyaupasuajiambayoinakujakwakasinihiiyakupandikizanywele.
Kutokananamatokeomazuriyaliyoonekanahivikaribunikwakutumianjiazilizoboreshwa,
wanaumewengizaidiwanachaguahudumahiiilikuondoaviparavinavyowafanyawaonekanewazee.
Kuna
faidanyingizakufanyaupasuajiwaurembonapiapasipokutumiaupasuajikwaviwangovizuri,
taasisizilizodhibitishwakamahospitaliza Apollo zimefunguakituomaalumu cha
kutoahudumazaurembohukoNew Delhi. DrKuldeep Singh aliongeza “matibabuyangoziyanazoelekasanasikuhizi.
Kilanjiakamaisipofanywakwaumakiniinakuwanihatari.
Hivyonimuhimukuchaguanjiailiyosalama, yakuaminikanayenyematibabu bora
kwaujumla.
Pamojanafaidazotenamanufaayaupasuajiwangozi,
yapobaadhiyamadhara. Kwasababuhatuanyinginizamudamfupi,
zinatakiwazirudiwemarakwamarakwakipindimaalumu cha muda,
kwamfanonjiayabotoxkwawastaniyamiezi 5, tishuinayowekwakwenyengozinikilamwaka 1
hadi 2, nazilehatuazakubanangozinizakilamiaka 2.
Matumizimakubwayakuwekatishukwenyengoziyanaletamwonekanofekilichainahusishaasidiyahyaluronic ambayoinaishanguvubaadayamuda.
Watuwenyealejinasindanonivyemawachukuetahadhari.
Kilasindanoinawezakuletamichirizikwenyengozinaitakuwambayazaidi pale
ngoziinapopatajua. Hatuazaupasuajizinawezakuletamakovuyamudamrefukidogonamudawakupatanafuunaokuongezeka,
wenginewanawezakufanyamarambiliwenginehapana.
Vijanawengi Tanzania wanaanzakutafutahatuazautunzajiwangozizao.
Mbalinakuhakikishamtuanahudumiwanaklinikiiliyothibitishwa, Dk.Kuldeep Singh
anashauri pale inapotokeamatibabukwarika la vijana,
mawazonamaamuzimengilazimayaendekwenyemaamuzihasayaupasuajiwaplastiki au
njiazisizohusishaupasuaji.
Siokwambaupasuajisiosahihikwavijanailaupouwezekanomkubwavijanakushindwakuelewamadharayamudamfupinamrefuwatakayopitia.
Ni muhimukuwamatarajioyaoyawebayananasiotukushawishiwa na matangazo na marafiki.
Dk. Singh
anashauri utunzwaji mzuri wa ngozi, nakuondolewa kwa nywele hasa kwa vijana.
No comments:
Post a Comment