Muziki na Maisha /PICHA : Mtoto wa Diamond Platnumz na Zari Hassan katika Picha, Latiffah Nasib Abdul - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 21 September 2015

Muziki na Maisha /PICHA : Mtoto wa Diamond Platnumz na Zari Hassan katika Picha, Latiffah Nasib Abdul


Diamond Platnumz na Zari Hassan wameonyesha Dunia picha ya mtoto wao Latiffah @princess_tiffah kitu ambacho watu wengi walikuwa Wamekisubiria sana na mashabiki wa couple hii.
Sura ya Tiffah imeonyeshwa siku 40 baada ya kuzaliwa kwake na sherehe kubwa imefanyika nyumbani kwa Diamond Platnumz ‘StateHouse’.
Mastaa kibao kutoka Tanzania wamehudhuria sherehe hizi,
Tiffah2
tifaah
CHEKI VIDEO YA TUKIO ZIMA LA MTOTO WA STAA WA BONGO DIAMOND PLATNUMZ

No comments:

Post a Comment