Michezo / Maisha : Wanamichezo Wahamasishwa Kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 13 September 2015

Michezo / Maisha : Wanamichezo Wahamasishwa Kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya


 Mwakilishi wa Mkurugenzi  Mkuu wa (NHIF),Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani akizungumza na waandishi wahabari hawapo pichani juu ya wanamichezo  kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kujipatia huduma za matibabu pamoja na dawa kwa vitio vya  Afya maluumu na Maduka ya dawa Malum ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam.
 Mkurunge wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti akifafanua jambo kwa wanahabar.
 Wanahabari wakimsikiliza kwa makini Mkurugezi wa Mfuko wa bima ya Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti, leo Jijini Dar es Salaam.
 Mwakilishi wa Mkurugenzi  Mkuu wa (NHIF), Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani akifafanua jambo leo Jijini Dar es Salaam.
Wanahabari wakichagia juu ya kuwahamasisha wanamichezo kujiunga na mfuko huo  katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment