Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi
akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza
la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine
(East African Diaspora Business Council Award) Jumatatu, Septemba 21, 2015
mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete
katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa Jumapili, Septemba 20 kwenye
Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas. Picha na Freddy Maro
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment