Matukio /Biashara : Bilionea Dangote Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kiwanda chake cha Saruji, Mtwara - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 21 September 2015

Matukio /Biashara : Bilionea Dangote Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kiwanda chake cha Saruji, Mtwara


 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (aliyesimama katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha Uwekezaji Tanznia (TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana na Mtendaji huyo mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha simenti.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje, Viwanda, Biashara na Masoko na Kituo cha Uwekezaji Tanzani (TIC), waliotembelea kiwanda cha simenti cha Dangote kinachojengwa mkoani Mtwara jana kwa ajili ya maandalizi ya kuzindua rasmi Oktoba mwaka huu.
 Mwekezaji kutoka Nigeria, Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Dangote Makao Makuu, Bw. Sada Ladan Baki (kulia), Mwakilishi Mkazi wa Makampuni hayo, Bi. Esther Baruti na Kaimu Balozi wa Nigeria, Bw. S. Umaru, alipokutana nao kwenye mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha simenti mkoani Mtwara jana.

 Bendera zikipepea kwenye kiwanda hicho kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati


 Sehemu ya mitambo kiwanda hicho ambayho baadhi ujenzi wake umekamilika


No comments:

Post a Comment