Maisha Yetu : Emmanuel Mbasha Ashinda Kesi ya Ubakaji - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 22 September 2015

Maisha Yetu : Emmanuel Mbasha Ashinda Kesi ya Ubakaji


 Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde akiwa amepiga magoti huku akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya ubakaji katika mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande)
Wakili wa Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde Kalombola (kulia), akitaka kumuinua msanii huyo alipokaa chini na kulia baada ya kushinda kesi ya ubakaji iliyokuwa inamkabili kwenye mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
 Emmanuel Mbasha akitoka katika chumba cha mahakama huku akilia kwa furaha baada ya kushinda keshi ya ubakaji.

Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.

Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.05 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.12 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.36 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.21 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.28 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.42 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.49 AM


Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.57 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 12.00.02 PM

No comments:

Post a Comment