Michezo : Azam Fc Yatwaa Ubingwa wa CECAFA Kagame Cup 2015 kwa Kuichapa Gor Mahia ya Kenya bao 2 - 0, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Sunday, 2 August 2015

Michezo : Azam Fc Yatwaa Ubingwa wa CECAFA Kagame Cup 2015 kwa Kuichapa Gor Mahia ya Kenya bao 2 - 0, Jijini Dar

 Kiungo hodari wa Timu ya Azam FC, Ammy Ali akiondika na mpira huku Mabeki wa Timu ya Gor Mahia wakiangalia namna ya kumdhibiti, katika mtanange wa fainali ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Azam FC imeshinda Bao 2-0 na kutwaa ubingwa huo.
 Wachezaji John Bocco (Azam) na Collins Okoth (Gor Mahia) wakiwa chini huku wakiendelea kuonyesha umahiri wao wa kuucheza mpira hapa wakiwa wamelala, wakati wa mtanange wa fainali ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Azam FC imeshinda Bao 2-0 na kutwaa ubingwa huo.
 Beki wa Timu ya Azam FC, Agrey Morris (13) akiondoa hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwao na Mshambuliaji wa Timu ya Gor Mahia ya Kenya, Godfrey Walusimbi.
 Wanakosa goli pale hawa Gor Mahia...........
 Kiungo wa timu ya Gor Mahia ya Kenya, Karim Nizigiyimana akionyesha uwezo wake mbele ya Mshambuliaji Machachari wa timu ya Azam FC, Kipre Tchetche, wakati wa mtanange wa fainali ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Azam FC imeshinda Bao 2-0 na kutwaa ubingwa huo.
 Sasa ni Kipre Tchetche na Karim Nizigiyimana.
 kiungo wa timu ya Gor Mahia ya Kenya, Karim Nizigiyimana akiachua shuti kuelekea lakongoni mwa timu ya Azam FC.
 Kiungo hodari wa Timu ya Azam FC, Ammy Ali akiruka juu kuwania mpira dhidi ya Mshambuliaji wa Gor Mahia, Michael Olunga.
 Washabiki wa Azam FC wakiishangilia timu yao.
 Erasto Nyoni wa Azam FC akionyeshana uwezo na Kagere Medie wa Gor Mahia wakati wa mtanange wa fainali ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Azam FC imeshinda Bao 2-0 na kutwaa ubingwa huo.
 Mpiga picha akiendelea kuchukua taswira mbali mbali za mtanange huo.

 Washabiki wa Timu ya Gor Mahia wakionekana kuhuzunika baada ya timu yao kushindwa kufua dafu mbele ya wanalambalamba wa Azam FC.
 Azam ni shangwe tupu.

No comments:

Post a Comment