Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.
Vijana
wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za
chama cha mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es
Salaam.
Furaha
imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira
yetu hapo katika ufunguzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM kwenye
viwanja vya jangwani leo jijini Dar es Salaam.
Mzee
akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es
Salaam.
Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo. Picha na Avila Kakingo na Emmanuel Massaka
No comments:
Post a Comment