Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" katika
ubora wake ameweza kukonga nyoyo za watu wa Mbarali na Watanzania kwa
ujumla. Mwang'ombe ameingia kwa style tofauti na wagombea wengi ambao
wamekuwa wakivaa kombati au sale za CHADEMA: Yeye, Mwang'ombe, alitokea
halmashauri akiwa amepigilia suti nyeusi na tai nyekundu huku akiwa
anakitambaa chenye rangi za CHADEMA na beji ya CHADEMA. Wana Mbarali
wengi wameonyeshwa kufurahishwa na Mwang'ombe aliye onyesha style
tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa wakivaa kombati na sare za
CHADEMA. Pia, Mwang'ombe ameonekana ni mtu mwenye kujiamini na kuongea
na kila mtu hapo halmashauri.
Baada ya kupokea fomu ya kugombea Ubunge
Mwang'ombe alionekana akimgusa gusa bega mkurugenzi wa halmashauri huku
akiongea naye na kumshukuru kwa kuwezesha zoezi hilo la uchukuaji wa
fomu.
Liberatus akinyesha fomu
Liberatus akipokea fomu
Msafara
Majadaliano kabla ya makabidhiano ya form
Signing out
Kuondoka halimashauri
Juu na chini ni msafara kuelekea halimashauri na kurudi ofisi ya wilaya
No comments:
Post a Comment