Mwenyekiti
na mwanzilishi wa kikundi cha vijana cha Tanzania Youth Network (TYN),
Agnes Mgongo akizungumza na vijana mara baada ya kukutana katika ukumbi
wa Don Bosco jijini Dar es Salaam.
Afisa
vijana wa wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo, Racheal
Kasanda akizungumza na vijana mbalimbali waliounda kikundi kiitwacho
Tanzania Youth Network (TYN), wakijadili changamoto mbalimbali
zinazowakumba vijana pamoja na vijana kuunda vikundi mbalimbali ili
kutumia fursa zilizopo hapa nchini na Nje ya nchi ameyasema hayo katika
mkutano uliowakutanisha vijana hao katika ukumbi wa Don bosco jijini Dar
es Salaam.
Afisa
vijana wa wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo, Racheal
Kasanda akipokea kitabu cha ujasiliamali kutoka kwa Balozi wa vijana
wa jumuia ya Afrika Mashariki, Eric Ngilangwa katika mkutano wa vijana
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Afisa vijana wa wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo, Racheal Kasanda, Mwenyekiti
na mwanzilishi wa kikundi cha vijana cha Tanzania Youth Network (TYN),
Agnes Mgongo na Katibu wa TYN, Azavery Phares wakiwa katika mkutano wa
vijana uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vijana wakiwa katika mkutano uliowakutanisha vijana mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Afisa
vijana wa wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo, Racheal
Kasanda akiwa katika picha ya pamoja na kikundi kilichowakusanya vijana
mbalimbali kutoka Bagamoyo,Morogoro pamoja na Dar es Salaam.
Picha na Avila Kakingo.
No comments:
Post a Comment