



Mgombea
Urais kwa Tiketi ya Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye
anaungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa Katiba ya wananchi, UKAWA,
Edward Lowassa leo ametembelea maeneo ya gongo la Mboto na kuzungumza na
wananchi kadhaa akitumia usafiri wa daladala.
No comments:
Post a Comment