Maisha yetu : Kongamano la Vijana Mkoani Mbeya wakati wa Kuazimisha siku ya Vijana Duniani. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 14 August 2015

Maisha yetu : Kongamano la Vijana Mkoani Mbeya wakati wa Kuazimisha siku ya Vijana Duniani.



 Mgeni Rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya  Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.
 Maandamano kuelekea katika Ukumbi ambapo vijana wanakutana kwa ajili ya Sherehe yao
 Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana 
 Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa
 Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya Vijana  Mwadawa Mbando akiendelea kutoa utaratibu
 Vijana wakisikiliza kwa makini watoa mada kaika sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Mzumbe Mbeya

No comments:

Post a Comment