Mtangazaji kinara wa kipindi cha BBC idhaa ya Kiswahili cha Dira ya Dunia, Salim Kikeke alipotembelea katika ofisi za MICHUZI MEDIA GROUP (MMG), jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji kinara wa kipindi cha BBC idhaa ya Kiswahili cha Dira ya Dunia, Salim Kikeke akifanya mahojiano na Michuzi tv online na Michuzi Blog,Chalila Kibuda jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji kinara wa kipindi cha BBC idhaa ya Kiswahili cha Dira ya Dunia, Salim Kikeke akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi mkuu wa Michuzi Media Group, Muhidini Issa Michuzi, akisalimiana na Mtangazaji kinara wa kipindi cha BBC idhaa ya Kiswahili cha Dira ya Dunia, Salim Kikeke jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment