Mhe. Edward Lowassa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA ,akiwa katika viwanja vya Tindigani ,Kimandolu Jijini Arusha, Akisaka Wadhamini |
Msindai na Ole nangole wote wametokea CCM na kuhamia CHADEMA |
Sehemu ya Umati wa Watu katika uwanja wa Tindigani -Kimandolu, Jijini Arusha |

Kushoto ni Mzee Mtei , Mbatia wakiwa kwenye Mkutano |
MEZA KUU |
Mama Regina Lowassa na Joshua wakifurahia jambo |
Sehemu ya Umati wa Watu katika uwanja wa Tindigani -Kimandolu, Jijini Arusha |
Sehemu ya Umati wa Watu katika uwanja wa Tindigani -Kimandolu, Jijini Arusha |
Sehemu ya Umati wa Watu katika uwanja wa Tindigani -Kimandolu, Jijini Arusha |
Sehemu ya Umati wa Watu katika uwanja wa Tindigani -Kimandolu, Jijini Arusha |
Mhe. Freeman Mbowe akimpokea Lawrence Masha ndani ya CHADEMA |
Sioi Sumarry akipokea Kadi ya CHADEMA na kupiga picha na Joshua Nassari |
Wanahabari wakichukua Taswirazzz |
Mhe. Lembeli akimwaga Sera zake |
Mzee Mtei akimpongeza Mhe. Lowassa |
Mhe. Mbatia akimwaga Sera zake |
Kada wa CHADEMA Akiwa amejipaka Rangi na Maandishi ya Lowassa. Picha na Dixon Busagaga |
No comments:
Post a Comment