Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa Tanga Cement,Bi. Mtanga Noor (kulia) akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini
ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla
iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu
kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna
bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika
Pongwe mkoani Tanga.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini
ya mjini Tanga wakimwagilia maji miti waliyoipanda katika hafla ya
upandaji miti iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la
kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo
kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo
iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini
ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla ya
upandaji miti iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la
kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo
kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo
iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga.
Meneja
Usalama, Afya na Mazingira wa Tanga Cement, Leon Breed (kulia)
akimsaidia mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo, Douglas Mbarouk kupanda mti
katika hafla hiyo.
Ofisa
Usalama, Afya na Mazingira wa Tanga Cement, Augustine Mwanganga
(kushoto) akiwaongoza baadhi ya wanafunzi hao katika zoezi la upandaji
miti ambalo pamoja na kutoa elimu kwa mafunzo kuhusu upandaji miti
lakini pia wanafunzi hao walifundishwa suala zima la umuhimu wa uhifadhi
wa mazingira.
Mmoja
wa wanafunzi wa Shule ya Rosmini High School, Clara Amon akimwagilia
maji mti alioupanda katika hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la
Kiwanda cha Tanga Cement, Pongwe mjini Tanga.
No comments:
Post a Comment