Mgombea
nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali
Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu
ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea
kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini
Unguja kuchukua fomu.

Wananchi wa manispaa ya Mji wa zanzibar waliofirika katika kumshindikiza Mgombea
nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali
Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kabla ya
kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini
Unguja kuchukua fomu.
Wapanda mapikipiki waliojitokeza kumshindikiza Mgombea
nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali
Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika maeneo ya
Michenzanni Mjini Zanzibar kabla ya kuelekea katika Ofisi za Tume ya
Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu,[Picha na
Ikulu.]
No comments:
Post a Comment