Bwana E
Mr Jimmy Jiam akiwa na swaga za hali ya juu wakati anampa
zawadi mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango baada yakuona kuwa ameweka
stika kwenye eneo lake la biashara eneo la Mbezi Jijini Dar es salaam.
Mshindi
mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango na washabiki wa EFM wakipozi kidogo
na kupiga picha na bwana E Mr Jimmy Jiam. Mshindi huyo alikuwa ameweka
stika ya EFM kwenye taksi yake alikabidhiwa zawadi yake na bwana E.
Bwana
E akipozi na mashabiki wa EFM. mashabiki hao walikutwa wanasikiliza
97.3 EFM na wakamjulisha bwana E jinsi wanavyo ipenda EFM na ndio hapo
wakapewa zawadi za t-shirt za EFM.
Hata
kwa mama lishe kunahusika sana, Mr. E akimkabidhi zawadi dada huyo kama
anavyoonekana amebandika stika ya EFM sehemu yake ya biashara ya
chakula.
No comments:
Post a Comment