Meneja uhusiano wa Airtel, Bwana Jackson Mmbando akiongea na
mshindialiyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki
yapromosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtelkutoka
mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa zamshindi
(kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatishabwana Humudi
Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwanaFabian Felician.(kati)
droo hii imechezwa leo katika makao makuu yaAirtel Moroco jijini Dar es
saalam.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
The Journey Of A Hot Air Balloon Safari
-
The adventure begins in the early hours of the morning. While the Serengeti
is still asleep, our dedicated crew prepares the launch site. The colorful...
No comments:
Post a Comment