Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hundi ya malipo ya Bima ya
Maisha(Flexi Provider) kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la
Taifa(National Insurance Corporation of Tanzania Limited) NIC Bwana Sam
Kamanga ikulu jijini Dar es Salaam leo.Akimkabidhi hundi hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima
Tanzania Limited (NIC) Bw. Sam Kamanga amesema uwepo wa Mheshimiwa Rais
kama mteja wa NIC imesaidia kukuza uelewa na shughuli za shirika hilo. Picha na Ikulu
Makamu wa Pili wa Rais Azindua Kituo cha Malezi na Makuzi Zanzibar
Kilichofadhiliwa na Stanbic
-
*Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
(katikati), akimwakilisha Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti w...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment