Siasa Zetu :Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay aanza kutekeleza ahadi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 6 May 2015

Siasa Zetu :Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay aanza kutekeleza ahadi


*Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Zefrin Lubuva (kushoto) akikabidhi fedha kwa Katibu wa Shina la CCM Morogoro Store, Ramadhan Abdallah, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya kutunisha mfuko na kukihimarisha chama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Shina la CCM Morogoro Store,Majibu Joseph.

No comments:

Post a Comment