Michezo/Ngumi: Floyd MayWeather Jr Amshinda Manny Pacquiao kwa Pointi, Mastaa Mbalimbali Wahudhuria - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 3 May 2015

Michezo/Ngumi: Floyd MayWeather Jr Amshinda Manny Pacquiao kwa Pointi, Mastaa Mbalimbali Wahudhuria

Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Floyd Mayweather Jr. akitupa konde la kushoto kwa Manny Pacquiao kwenye mpambano wao wa welterweight uliofanyika May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden uliopo Las Vegas, Nevada

Mashabiki wa ngumi wakiwemo watu maarufu wakiingia MGM Grand Garden Arena lushuhudia mpambano wa ngumi uliokua umeiteka mitandao na Luninga za Dunia takribani miezi 3. 
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightBeyonce Knowles na Jay Z wakihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Donald J. Trump, mwenyekiti na Rais wa, The Trump Organization, akiwa na mke wake Melania Trump  wakihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Michael Jordan na mke wake Yvette Prieto  wakihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Andre Agassi na mke wake Steffi Graf  wakihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Mark Wahlberg  akihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Mwimbaji Mary J Blige akihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Paris Hilton akihudhuria mpambano wa kuwania mkanda wa welterweight kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada.
Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao Fight
Jamie Foxx akiimba wimbo wa Taifa wa Marekani kwenye usiku wa mpambano kati ya Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquiao  siku ya Jumamosi May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden jimbo la Las Vegas, Nevada. Picha zote kwa hisani ya Zimbio

No comments:

Post a Comment