

Rais Kikwete akisalimiana na Jaji Robert Makaramba, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza tayari kwa sherehe za Mei Mosi Ijumaa

RAis Kikwete akisalimiana na Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Joaquina De Mello

Rais akilakiwa na Jaji wa Mahakama Kuu

Rais Kikwete akisalimiana na mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza Sheikh Hassan Kabeke

Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya mkoa wa Mwanza Askofu Chalres Sekelwa

Rais Kikwete akisalimiana na mjumbe wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza

Rais Kikwete akisalimiana na mjumbe wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza

RAis Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Cocacola Mwanza, Bw. Christopher Gachuma

Rais Kikwete akisalimiana na Dr. Faisal H.H. Issa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza

Rais Kikwete akilakiwa na kikundi cha kwaya

Ngoma za utamaduni

Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni

Rais Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza

Rais Kikwete akipokea risala ya Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza

Rais Kikwete akiongea na Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza

Rais Kikwete akiongea na Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza

Rais Kikwete akiagana na wajumbe wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza













No comments:
Post a Comment