Mgeni Rasmi katika Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Naibu
Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima akitoa hotuba yake katika ufunguzi wa
Mkutano huo, ulioanza leo Mei 28, 2015 kwenye hoteli ya Regal Naivera,
Jijini Tanga. Kauli mbiu ya Mkutano huo ni "Mafao Bora kwa Maisha yako
ya Sasa na ya Baadae".PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Daud Msangi akizungumza wakati akitoa utambulisho wa wageni mbali mbali waliohudhulia kwenye Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, ulioanza leo Mei 28, 2015 kwenye hoteli ya Regal Naivera, Jijini Tanga.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Joyce Shaidi akitoa taarifa ya Bodi yake kwa wanachama na wadau wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, wakati wa Mkutano wa sita wa Mwaka wa Mfuko huo, ulioanza leo Mei 28, 2015 kwenye hoteli ya Regal Naivera, Jijini Tanga.
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima (kushoto) akizindua rasmi Mafao Mapya yatowewayo na Mfuko huo, mara baada ya kuufungua Mkutano huo.Wengine pichani toka kulia Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Daud Msangi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka
ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii, Juma Muhimbi pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Joyce Shaidi.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko
wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Aloyce Ntukamazina akielezea jambo juu ya
muonekano wa logo mpya ya Mfuko huo, iliyozinduliwa rasmi leo Mei 28, 2015 kwenye hoteli ya Regal Naivera, Jijini Tanga.
Muwakilishi
wa Wakuu wa Mifuko ya Hifadhiza Jamii nchini, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa PPF, William Erio akitoa shukrani kwa Mgeni Rasmi pamoja na wadau
wote waliohudhulia kwenye Mkutano huo.
Mwenyekiti
Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma
Mrisho pia alipata wasaa wa kutoa salamu zake kwa wadau wote
waliohudhuria kwenye Mkutano huo.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya
Kustaafu GEPF, Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima (wa pili kushoto)
akikabidhi tuzo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, SACP Zuber Mwombeji
kwa niaba ya Jeshi la Polisi lililoongoza kuwa wachangiaji bora wa
Mfuko huo.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya
Kustaafu GEPF, Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima akimkabidhi tuzo
Mwanachama wa GEPF anaechangia kwa hiari, Chipegwa Chitojo.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya
Kustaafu GEPF, Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima akimkabidhi tuzo
wakala wa Mfuko wa GEPF, Said Omar Mwagajiko.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Daud Msangi akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii, Juma Muhimbi wakati wa Mkutano
wa sita wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, ulioanza
leo Mei 28, 2015 kwenye hoteli ya Regal Naivera, Jijini Tanga.
Baadhi ya Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii wakiwa kwenye Mkutano huo.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh. Joshua Nassary akifatilia kwa makini Mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa GEPF, Anselim Peter akifatilia ufunguzi wa Mkutano huo.
Sehemu ya Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF wakiwa kwenye Mkutano huo, ulioanza leo Mei 28, 2015 kwenye hoteli ya Regal Naivera, Jijini Tanga.
Burudani ya ngoma.
Picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali.
Picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya GEPF.
Picha ya pamoja na Washindi wa Tuzo za Uchangiaji bora.
Wadau na Wanachama wa Mfuko wa GEPF.
Picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Mfuko wa GEPF.
No comments:
Post a Comment