Matukio :Ubovu wa Barabara wawakosesha raha Watalii wa Ndani katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 22 May 2015

demo-image

Matukio :Ubovu wa Barabara wawakosesha raha Watalii wa Ndani katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.


E86A7627+%2528800x533%2529
Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara .
E86A7629+%2528800x533%2529
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo.
E86A7630+%2528800x533%2529
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
E86A7633+%2528800x533%2529
E86A7636+%2528800x533%2529
Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza.
E86A7639+%2528800x533%2529
E86A7644+%2528800x533%2529
Afisa Masoko wa hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro Antypas Mgungusi akizungumza jambo mbele ya watalii wa ndani mara baada ya kufika Lango la Londros kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea kilele cha Shira.
E86A7647+%2528800x533%2529
E86A7648+%2528800x533%2529
Baadhi ya watalii wa ndani.
E86A7652+%2528800x533%2529
Hali ya hewa katika eneo hili ni ya kubadilika .
E86A7675+%2528800x533%2529
E86A7676+%2528800x533%2529
Watalii wa ndani wakielekea katika kilele.
E86A7681+%2528800x533%2529
Wengine walikuwa na furaha mara baada ya kufika katika uwanda wa Shira.
E86A7684+%2528800x533%2529
Wengine waliamua kupumzika njiani.kama anvyoonekana mwandishi James Paul wa ITV.
E86A7687+%2528800x533%2529
Hatimaye magari yaliyokuwa yameshindwa kupita kutokana na ubovu wa barabara yalifanikiwa kupita na kupanda kuwachukua watalii wa ndani.

Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *