Matukio : Sherehe za Mei Mosi Zilivyofana Jijini Dar Leo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 1 May 2015

Matukio : Sherehe za Mei Mosi Zilivyofana Jijini Dar Leo


Bendi ya Jeshi la polisi wakiwa katika maandmano ya siku ya wafanyakazi yaliyofanyika katika viwanja vya uhuru jijini Dar es salaam leo.
 Maandamano ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi ) wa DOWUTA TICTS.
Wafanyakazi wa Kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Daily, Sunday News na Habari leo (TSN) wakipita na bango lao wakati wa kuadhimisha siku ya Wafanyakazi (Mei Dei), leo jijini Dar es salaam.
 Maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi), yaliyofanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi), hawa ni chama cha wafanyakazi mashambani na kilimo Tanzania tawi la TPAMU makao makuu wakiwa katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam leo.
 wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wakiwa na kauli mbiu ya DOWUTA kauli moja na Nguvu imara,wakiwa katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam leo.
 Wakiwa katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam leo kusherekea Sikukuu ya wafanyakazi wakiwa na kauli mbiu ya MFANYAKAZI NENDA KAJIANDIKISHE KURA YAKO NDIO MAENDELEO YA TAIFA LETU.

No comments:

Post a Comment