Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.
Diamond akimuweka sawa mpenzi wake.
Mtangazani
mwenye jina kubwa wa Radio Clouds FM, Gerald Hando 'Mzee Mnoko'
(kushoto) na Edson Kamoga wa 360 ya Clouds TV (kulia) wakiendelea
kufanyia…

kufanyia mahojiano Diamond na Zari.
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akisoma meseji za mashabiki waliokuwa wakifuatilia mahojiano hayo.
Baadhi ya wadau wa Clouds TV, Radio (kulia) wakipata kifungua kinywa kilichokuwa kimeandaliwa.
P Diamond na Zari wakiwa katika pozi na wadau wa Clouds TV, Radio baada ya mahojiano.
Wakati wakitoka.
Wadau wakiwa kwenye gari la Diamond wakati akijiandaa kuondoka mahali hapo.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Deciphering the Secrets of Tanzanian Wildlife
-
*Summary:* Go beyond the checklist. This blog post breaks down the unique
evolutionary traits found *only* in Tanzania's ecosystem.
We explore...
No comments:
Post a Comment