Nikiwa na kaka , Rafiki Dk. Chris Mauki , Mwanasaikolojia Mahiri Aliyekuwa Mfundaji Katika Semina ya Wanandoa katika "Awake Couple's Night" ndani ya Corridor Springs Hotel, Arusha, Jumapili iliyopita.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza Mr.
Kilusu na mke wako Alice wa AliceK Design kwa kuvuka changamoto tele za
kuandaa event ya couples' awake. You guys rocked. Kwa wakazi wa Arusha
hususan wakinamama, msiache kumcheki AliciaK Design kwa mavazi ya aina
zote ya kinamama. Kwa mawasiliano utawapata kwa 0755 432630 au 0655
432630.
Picha kwa hisani kubwa ya brother Nelson Mugarula wa AliciaK design
Watu wakiserebuka kwa raha zao
Mr and Mrs Chris Mauki wakiwa na Nyuso za Furaha na matumaini..
Mwimbaji wa New life band, Abednego Hango na mkewe
Team ya New life band pia walihudumu vizuri sanaaa
Alice wa AliciaK Design akiwakaribisha wageni, yeye ndio muandaji mkuu wa event hii
Jamaa mwenye suti nyeusi alitokea Nairobi kwa ajili ya Couple's awake, yeye ni boss wa Toyota Kenya
Shule yenye madini imeanza
Shule ikiendelea
Miriam wa Mauki naye alipata fursa ya
kuwasaidia watu kufahamu umuhimu wa afya katika muboresha mahusiano,
hususani katika matumizi ya bidhaaa za Kahawa zenye afya za Organo Gold
Miriam akiimba na Abednego
Sweetheart Wa Chris Mauki Bi. Miriam Lukindo Mauki
The A-team, team ya spidi katika kuleta mabadiliko kwenye maisha ya watu
Mr. Kilusu na mkewe Alice, waandaaji wa Arucha Couples' awake
Maakuli yalikuwa poa sanaaa, was really a moment to enjoy, yaani
It is a talent to influence others, hapa Miriam akiwapa kina mama wa Arusha maelekezo ya ubora wa bidhaa za Organo Gold
Watu wa Arusha wakigombania DVD's na vitabu vya saikolojia vya Dr. Chris Mauki
No comments:
Post a Comment