Mkuu
wa Shirika la Maendeleo ya kimataifa la Ujerumani(GIZ)inayosaidia
kujenga uwezo wa taasisi za Uongozi na Utawala bara la Afrika,Dk Iris
Breutz akizungumza wakati wa semina ya siku nne ya kuwajengea uwezo
waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika Mashariki namna Mahakama ya
Afrika na Haki za Binadamu(AfCPHR) inavyofanya kazi zake jijini
Arusha,kushoto ni Jenerali Ulimwengu ambaye ni mwezeshaji na Mkuu wa
Mawasiliano wa AfCPHR,Chatbar Sukhdev.
Mkuu wa Mawasiliano wa AfCPHR,Chatbar Sukhdev akitoa nasaha zake kwenye semina hiyo itakayowapa waandishi wa habari uelewa mpana wa Mahakama hiyo yenye makao yake jijini Arusha.
Baadhi ya waandishi wa habari wakijifunza mambo mbalimbali yanayohusu kulinda Haki za Binadamu barani Afrika.

.jpg)
No comments:
Post a Comment