Maisha na Siasa : Kada wa CCM Hansi Mmasi Atoa Msaada kwa Walioathirika na Mafuriko Moshi Vijijini. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


7 May 2015

Maisha na Siasa : Kada wa CCM Hansi Mmasi Atoa Msaada kwa Walioathirika na Mafuriko Moshi Vijijini.




Chakula cha msaada kwa ajili ya wananchi walio athirika na mafuriko wilaya ya Moshi vijijini kikushushwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa kwa wahusika.
Kada wa Chama cha Mapinduzi Hansi Mmasi akikabidhi msaada wa Chakula kwa afisa tarafa,Eveline Mmary ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya ya Moshi .
Afisa Tarafa wa Kilimanjaro akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini.
Kada wa chama cha Mapinduzi Hansi Mmasi akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa Chakula kwa ajili ya watu walioathirika na mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini.
Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad