Bungeni : Matukio Tofauti Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 18 May 2015

demo-image

Bungeni : Matukio Tofauti Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma

DSC_0054
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akipongezana na Waziri wa Maji Mhe.Jumanne Magembe mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei 16, 2015 katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
DSC_0057
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani mara baada ya kuhairishwa kwa kikao cha Tano cha Bunge la Bajeti Mei, 16, 2015.
DSC_0079
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Grace Mosha akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uratibu wa Maafa Bi.Naima Mrisho Mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei, 16 2015 Dodoma.
DSC_0096
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Mhandisi Christopgher Chiza akiteta jambo na Mbunge wa Mpendae Mhe. Abdallah Turky nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma.
DSC_0098
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Regina Kikuli akiteta jambo na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw.Julius Mallaba mara baada ya kutoka katika mkutano wa tano wa Bunge la Bajeti Mei, 2015 Dodoma.
DSC_0109
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akizungumza jambo mara baada ya bajeti ya Ofisi yake kupitishwa, wa kwanza kushoto ni Mbunge Viti Maalum Mhe.Lediana Mng’ong’o na katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe.Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *