Teknolojia Tanzania : Asilimia 100 ya Tanzania sasa ni Digitali - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 3 April 2015

Teknolojia Tanzania : Asilimia 100 ya Tanzania sasa ni Digitali


 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji kutoka mfumo wa utangazaji wa Televisheni kwa mfumo wa Analojia kwenda Dijitali ambapo asilimia 100 ya nchi sasa imekuwa Dijitali. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Ofisa wa Masafa, Christopher Asenga.
  Ofisa wa Masafa wa TCRA, Christopher Asenga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala
 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mkutano ukiendelea.  Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)

No comments:

Post a Comment