Teknolojia : NEC Yaanza Mafunzo ya YA Uchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 17 April 2015

Teknolojia : NEC Yaanza Mafunzo ya YA Uchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta


Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyero akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam. 
Zaidi ya wachambuzi 500 wamekutanishwa na NEC kwa ajili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya mfumo wa BVR.

No comments:

Post a Comment