Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (katikati) Makamo
wa Pili wa Rais Balozi Seif ALi Iddi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai,Mama Mwanamwema Shein (kushoto) na Mwenyekiti wa
Mkoa Mjini kichama Borafya Silima Juma (wa pili kushoto) wakiwa katika
uzinduzi wa mfuko wa Maendeleo ya Mkoa wa Mjini sambamba na Chakula cha
kuchangia Mfuko huo katika ukumbi wa Salama Bwawani .Viongozi
mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika hafla ya uzinduzi
wa Mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Mjini Kichama sambamba na chakula cha
kuchangia mfuko huo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.Baadhi ya waalikwa na wafanyabishara wakichukua Chakula wakati wa hafla
ya Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa
Mjini Kichama katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.Wanakamati wa maalum ya katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa Mjini Kichama wakifuatilia kwa makini na kufanya mahesabu wakati wa Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko huo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.Baadhi
ya wajumbe wa kamati Maalum ya mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa Mjini
wakielekezana jambo wa uzinduzi wa Mfuko huo sambamba na Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko huo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko wa
maendeleo ya Mkoa wa Mjini uliofanyika jana katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja na kuwajumuisha wafanyabiashara mbali mbali na
Viongozi wa CCM wa Mkoa huo .Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ALi Iddi akiwaongoza Viongozi
mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi katika kuchukua chakula wakati wa
hafla maalum ya chakula cha hisani cha kuchangia mfuko wa maendeleo ya
Mkoa wa Mjini kichama katika ukumbi wa salama Bwawani Mjini Unguja .Waziri
wa Kilimo,Chakula na Ushirika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Stephen
Wasira akiungana na Viongozi mbali mbali katika hafla ya chakula cha
hisani cha kuchangia Uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa Mjini
Kichama katika ukumbi wa salama Bwawani Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akichukua chakula
katika hafla ya chakula cha hisani cha kuchangia mfuko wa maendeleo wa
Mkoa wa Mjini Kichama katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi cheti
maalum Mama Mwnamwema Shei kwa Mchango wake alioutoa wakati wa Hafla ya
chakula cha hisani cha kuchangia mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa Mjini
Kichama katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati)
Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma(katikati).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shilingi za Kitanzania laki tano kutoka kwa Waziri
wa Kilimo,Chakula na Ushirika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Stephen
Wasira wakati hafla ya chakula cha hisani kuchangia mfuko wa maendeleo
ya Mkoa wa Mjini Kichama katika ukumbi wa Salama Bwawani.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shilingi za Kitanzania
laki tano kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza wakati
hafla ya chakula cha hisani kuchangia mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa
Mjini Kichama katika ukumbi wa Salama Bwawani.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shilingi za
Kitanzania Millioni thalathini kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowasa wakati hafla ya chakula
cha hisani kuchangia mfuko wa maendeleo ya Mkoa wa Mjini Kichama katika
ukumbi wa Salama Bwawani usiku wa kuamkia Aprili 13, 2015.[Picha na
Ikulu.]
No comments:
Post a Comment