Matukio : Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Amtembelea Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta Ofisini kwake - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 21 April 2015

Matukio : Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Amtembelea Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta Ofisini kwake


Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akimsikiliza Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Hawa Ndilowe alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake. Waziri wa Uchukuzi na Balozi huyo wamejadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Uchukuzi na Balozi huyo aliipongeza Wizara kwa kutekeleza vyema miradi inayotekelezwa chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa(BRN).

No comments:

Post a Comment