Tuzo ya Jamii :Tuzo ya Jamii Kutambulishwa Bungeni Leo. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 23 March 2015

Tuzo ya Jamii :Tuzo ya Jamii Kutambulishwa Bungeni Leo.

Leo tarehe 22.03.2015 Viongozi Waandamizi wa Tuzo ya Jamii wapo safarini Kuelekea Bungeni Dodoma ambapo kati ya tarehe 23-24 March 2015 watakuwa wageni wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika ziara hiyo Viongozi hao watajifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bunge na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge
Walio katika Msafara
1.DJ Malegesi      
2.Amani Mwaipaja 
3.Sylvester N. Mayunga
4.Joan Msumi
5.Rachel Kassanda
Viongozi wa Tuzo ya Jamii, Kushoto ni Dk. Mayunga na DJ Maregesi wakiwa katika viwanja vya Bunge leo Asubuhi.

No comments:

Post a Comment