Michezo : Timu ya Yanga yatakata uwanja wa Taifa leo,Yawatungua wazimbabwe bao 5-1 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 15 March 2015

Michezo : Timu ya Yanga yatakata uwanja wa Taifa leo,Yawatungua wazimbabwe bao 5-1

 Huu ndio Mpira uliotumika katika Mchezo wa leo baina ya Yanga na FC Platinum katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.
 Kikosi cha Yanga.
 Kikosi cha FC Platinum.
 Beki wa Yanga,Kelvin Yondani akiondosha hatari langoni kwake wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mshambuliaji Machachari wa Timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiichambua ngombe ya Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
Mchezaji wa Yanga,Simon Msuva akiangalia namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.

No comments:

Post a Comment