UMOJA
wa Vyama vya wanafunzi Elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya
kaskazini Kilimanjarona ,Arusha ,wajitokeza kumshawishi Prof. Sos peter
Muhongo Kugombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.
Pia
wanasema kuwa amekuwa akiwezesha uchumi kujitegemea na kupinga
ulanguzi katika sekta ya uwekezaji pamoja na kutetea vijana katika
uwekezaji na kupata ajira.
Vijana
hao ambao ni umoja wa vyama vya wanafunzi wa elimu ya juu katika picha
kutoka kushoto ni NELSON WILSON MACHUMU ,TUMAIN UNIVERSITY. 2 DAUD
HIPOLITY SHAYO CHUOCHA UHASIBU (IAA) 3 SARAH AMINIRABI MUSHI ARUSHA
UNIVERSITY 4 CHARLES NGEREZA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA.5 HOBESHIJUVENARY
MAKUMIRA UNIVERSITY PAMOJA NA RAHMA YUSUPH SENGEZA CHUO CHA JOMO KENYATA. (Picha na Jamiiblog)
No comments:
Post a Comment