Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda
kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference)
ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na
Rais Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati
(Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26,
2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye
ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano
wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya
pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa
Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu
wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na
kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza
maelezo toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished
Bade walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa
moja katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo
walipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.

Rais Paul Kagame wa Rwanda akipeperusha bendera kuashiria kuzinduliwa
kwa safari za treni za mizigo kuelekea Rwanda katika stesheni ya reli ya
Dar es salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete leo
Machi 26, 2015. PICHA NA IKULU
The Essential Role of Open Data in Upholding Press Freedom & Assessing the
Value of the U.S.-Tanzania Partnership
-
U.S. Embassy Dar es Salaam
TANZANIA
By U.S. Ambassador to the United Republic
of Tanzania Michael A. Battle Sr.
May 2, 2024 - Since 1993, thank...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment