Matukio : LAAC Yabaini Mapungufu Makubwa Katika Ujenzi wa Chuo cha Ualimu cha Ayalabee Wilayani, Karatu Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 9 March 2015

Matukio : LAAC Yabaini Mapungufu Makubwa Katika Ujenzi wa Chuo cha Ualimu cha Ayalabee Wilayani, Karatu Arusha


Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) Azza Hamad akizungumza wakati kamati hiyo ilipotembelea Halmashauri ya wilaya ya Karatu.Kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Karatu Omar Kwang.

Wajumbe wa kamati hiyo Mh ,Tahuida Nyambo na Yahya Issa wakitizama vitabu ,pembeni kulia ni katibu msaidizi wa kamati hiyo Waziri Kizingiti.
Mjumbe wa kamati ya LAAC,Dastan Mkapa akiwa na Katibu wa kamati hiyo,Dickson Bisire wakifutilia hotuba ya mwenyekiti wa kamati hiyo.
Wajumbe wa kamati ya LAAC,Mh Agustino Masele pamojan na Mh Menrad Kigola wakifuatilia kwa makini hoja zilizokuwa zikitolewa wakati wa kika hicho na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu.
Watendaji wa serikali kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha wakifuatilia jambo katika kikao hicho.

Baadhi ya watumishi wa Halamshauri ya wilaya ya Karatu wakiwa katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu,Lazaro Titus akiongozana na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa kwenda kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mwenyekiti akikagua jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee ambacho kinatajwa majengo yake kujengwa chini ya kiwango. Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment