Matukio : Kipindi kipya cha Niambie Live kuanza kurushwa Leo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Wednesday 18 March 2015

Matukio : Kipindi kipya cha Niambie Live kuanza kurushwa Leo


Hiki ni kipindi kitakachozungumzia baadhi ya mambo ambayo yametawala kwenye mitandao ya kijamii.
Kitawajia punde
USIKOSE kukifuatilia
Niambie Live Show....Ep1
Omby Nyongole, Salma Moshi na Queen Mkelemi
Karibu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVE
Kipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii. Pia kupata Tip ya siku / wiki kusaidia kuboresha maisha yako.
Ni Niambie Live....
KARIBU

No comments:

Post a Comment