Maji ni Uhai :Dk.Gharib Bilal Afunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa Musoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Mar 2015

Maji ni Uhai :Dk.Gharib Bilal Afunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa Musoma

 Makamu wa Rais, Dkt. Bilal akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Uboreshaji wa Hudumu ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Musoma.Kushoto ni Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe  na katikati ni Balozi wa Ufaransa nchini Melika Berak.

 Mkurugenzi wa Idara ya Ubora wa Maji, Nadhifa Kemikimba akimuonesha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal teknolojia ya kusafisha maji kwa kutumia mifupa.
 Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Wiki ya Maji Kitaifa.
 Mkurugenzi Mtendaji ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma, (MUWASA) Mhandisi Said Gantala, akimuonesha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal (katikati), ramani ya Mradi wa Ujenzi wa Uboreshaji wa Hudumu ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Musoma. Kushoto ni Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe.
 Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akimkaribisha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal kuzungumza na
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal akimpa kikombe Mkuu wa Idara ya Rasilimali za Maji na Uhandisi wa Umwagiliaji wa Chuo cha Maji, Eng. Pantaleo Tumbo ikiwa ni moja ya zawadi zilizotolewa kwa washiriki wa maonesho ya maadhimisho ya wiki ya Maji.

Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Musoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad