Maisha Yetu : Mama Maria Nyerere Akanusha Uvumi Ulioenea Jana Kuwa Amaefariki Dunia - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 10 March 2015

Maisha Yetu : Mama Maria Nyerere Akanusha Uvumi Ulioenea Jana Kuwa Amaefariki Dunia


Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere leo amezungumza na waandishi wa habari,nyumbani kwake Msasani jijini dar es salaam juu ya uvumi ulioenea nchini kuwa amefariki Dunia.Mama Maria amewathibitishia watanzania kuwa bado yu hai na mwenye nguvu hivyo wasiwe na hofu nae. Alisema jana amepokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto zake, wake wa watoto zake wote, familia yake pamoja na watu mbalimbali ili kumjulia hali.Amesema alipopokea taarifa hizo wala hakushtushwa badala yake alifanya sara kwani uvumi huo wawezekana inatokana na vuguvugu la uchaguzi....Kwa Maelezo Zaidi BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment