Maisha Yetu : Kampuni ya Vunja Bei Yamkabidhi Dinner Set na Gesi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 4 March 2015

Maisha Yetu : Kampuni ya Vunja Bei Yamkabidhi Dinner Set na Gesi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

??????????
Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija akimkabidhi zawadi ya dinner set Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Felix Ntibenda jana kwa kumpongeza kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ambapo pia aliwapatia watumishi zawadi ya chupa ya chai na vikombe vya chai kwa kuwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii shughuli hiyo ilifanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa huku promosheni hiyo ikiwavutia wakazi wa jiji la Arusha
??????????
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Felix Ntibenda akimshukuru Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija baada ya kumkabidhi zawadi ya dinner set na jiko la gesi
??????????
Watumishi mbalimbali wa serikali wakijipatia zawadi mbalimbali kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija baada ya kufanya ziara jana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha
??????????
Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija alisema pia atafanya ziara katika shule za serikali Sekondari na Msingi kwa kuwapatia zawadi ya sufuria za kupikia shule ikiwa ni sehemu yake ya kujitolea kwa jamii. Picha na Pamela Mollel wa Jamiiblog

No comments:

Post a Comment